UPISHI WA PILAU Y A KUKU
Naam, mapishi ya pilau bila shaka ni mengi. Wapo wanaopika pilau ya kawaida au wengine wanapenda kuipamba kwa njegere, zabibu au viungo vingenevyo. Huenda viungo vinavyotumika vikawa sawa lakini wakati wa kuviweka viungo hivyo ikaleta tofauti ya ladha. Au pia wengine wanaweza wakatumia viungo aina nyingi zaidi kuliko wengine na ndipo pia tofauti ya ladha inapojitokeza.
MAHITAJI
- Mchele 1/2 kg(nusu kilo)
- Kuku mmoja wa kiasi aliyekatwa katwa na kuoshwa vizuri
- Vitunguu maji 2 vilivyokatwa katwa slices
- Pilipili boga 1
- Karoti 1
- Dania 1
- Tomato/nyanya 2 zilizokatwa katwa au kublendiwa
- Viazi 3 vilivyokatwa katwa
- Tomato paste/nyanya ya mkebe vijiko 2 vya mezani
- Kitunguu thomu kijiko 1 cha mezani
- Kijiko 1 cha chai mdalasini iliopondwa
- Kijiko 1 cha chai pilipili manga iliopondwa
- Kijiko 1 cha chai bizari nyembamba iliopondwa
- Mafuta uto/mafuta ya kupikia takriban vijiko 3 vya mezani
MATAYARISHO
- Weka mchele uupike kwa sekunde kadhaa
- Weka viazi na maji kiasi. funika mpaka maji yaelekee kukauka, takriban dakika 10(kiasi cha maji itategemea na mchele. Mimi nimetumia sunrice kwa hiyo nimeweka maji kiasi cha kufunika mchele na kuzidi kidogo)
- Weka dania ukoroge vizuri na uyaache maji yakauke vizuri
kisha ufunike uweke moto mdogo kabisa kama unatumia gas cooker kwa takriban dakika 10_15(kama unatumia jiko la makaa weka moto wa juu na chini
kisha tayari kwa kupakua.
Good job ..I'll definitely try out
ReplyDeleteUkiandaa uckose kuniletea
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteGood one
ReplyDeleteGood one
ReplyDeleteGood work
ReplyDeleteExcellent
ReplyDeleteNitaenda kujaribu
ReplyDeleteKazi safi
ReplyDeleteWow! So nice
ReplyDeleteSantii
Deleteπ―π―
ReplyDeleteππππ
ReplyDeleteResipe
ReplyDeleteMapishi matamu sana
ReplyDeleteTamuuu
ReplyDeleteNice one
ReplyDeleteNa Kachumbari baridiii itashukaa vizuri
ReplyDeleteππππ
ReplyDeleteYou did it
ReplyDeleteWell doneπππ
ReplyDelete