AMANI IDUMISHWE
Amani ni hali ya kutokuwa vita katikati ya nchi kwa sababu vita huleta uharibifu mkubwa kushinda aina nyingine za ugomvi. Je, Ni njia gani zinafaa kutumika Ili kudumisha amani ? Serikali kupambana na ugaidi nchini Kenya. Serikali inafaa kuweka sheria maalum za kupambana na ugaidi kote ulimwenguni. Hizi sheria ni pamoja na zile zinazohusu utekaji watu nyara,mlipuko wa mabomu inayosababishwa na magaidi. Kukuza uhuru wa magazeti na ule wa kujielezea Ili kuwaruhusu watu wote waweze kutoa habari ambazo hazitakaguliwa na kutokuwa na ubaguzi wa kitamaduni,ni dhahiri shairi kuwa,serikali imesaidia kustawisha na kuimarisha vyombo vya habari. Serikali kubadilisha mitaa ya mabanda iwe makao yafaayo kwa binadamu.Miji mikuu imekuwa makao kwa nusu ya watu ulimwenguni.wamekuwa kitovu Cha shughuli za uzalishaji Mali na kutumia.Pia hushughulikia namna za kutega uchumi na uimarishaji wa jamii Ili kupata Mali na nafsi bora.Pia serikali inafaa kutoa usalama wa umilikaji kwa wale wakazi maskini wa mji...